Plus 255 Entertainment and Plus 255 studios primarily deals with recording films, music videos, events videos, Documentaries, taking epic photos etc, the Co. is based in Tanzania.
follow us on Instagram: plus_255_studios
Posted by Unknown
Posted on 05:53
with No comments
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP)
Ibrahim Kilongo.
JESHI la Polisi Mkoani Arusha linamshikilia mtu mmoja ambaye
anahusishwa na kutokea kwa mlipuko
uliotokea katika kanisa la Katoliki la St Joseph Olasiti Arusha leo
asubuhi.
Tukio hilo lilitokea wakati Balozi wa Papa kutoka Vatican akizindua Parokia hiyo mpya ya St Joseph Olasiti ya Jijini Arusha.
0 comments:
Post a Comment