BREAKING NEWS: Mwanamuziki wa Hip-Hop ALBERT MANGWAIR amefariki dunia LEO huko Afrika Kusini katika hospitali ya Hellena Joseph.
Msanii ALBERT MANGWEA (Ngwair), amefariki dunia leo akiwa Afrika Kusini, rafiki anasema hakuamka toka jana alipolala. kwa habari tulizopata ambazo sio rasmi nikuwa alijioverdose kwa kutumia madawa ya kulevya.
Kuwa karibu nasi kwa kupata habari zaidi.
0 comments:
Post a Comment