Plus 255 Studios

Plus 255 Studios
Home » » KAGAME UMEKUA MWALIMU NA WEWE?

KAGAME UMEKUA MWALIMU NA WEWE?

 It was 1978 in a secret espionage farm (somewhere in Morogoro), Paul Kagame was recruited, trained and eventually served as our informer and a spy in different top secret missions...

Baada ya kumaliza mafunzo, hata Marekani ilimtambua kwa uwezo wake wa infiltration na counter espionage skills, kiasi kwamba ilimpa nafasi asome command and general staff college huko Kansas.

Tanzania trained him to be a world class spy, why is he turning against his mentor?

Want to know more? Keep reading => http://bit.ly/1dMjHVp

It was 1978 in a secret espionage farm (somewhere in Morogoro), Paul Kagame was recruited, trained and eventually served as our informer and a spy in different top secret missions...
Baada ya kumaliza mafunzo, hata Marekani ilimtambua kwa uwezo wake wa infiltration na counter espionage skills, kiasi kwamba ilimpa nafasi asome command and general staff college huko Kansas.
Tanzania trained him to be a world class spy, why is he turning against his mentor?

Baada ya kumaliza mafunzo, hata Marekani ilimtambua kwa uwezo wake wa infiltration na counter espionage skills, kiasi kwamba ilimpa nafasi asome command and general staff college huko Kansas. PK Akiwa na Yoweri Museveni, Obote, Okello, Oyite Ojock, Yusuf Lule, Fred Rwigyema na majasusi waliokubuhu wa Tanzania, walikutana kwa siri Kilimanjaro, mwaka 1979,in a secret meeting called THE MOSHI CONFERENCE na kuunda "KIKOSI MAALUM" kilichotangulia na baadhi ya majasusi ndani ya Uganda kuendeleza insurgency covert operations wakati majeshi ya TPDF yakisonga mbele.

Hii timu ilikua pia na David Sejusa Tinyefunza, jasusi kuu la Uganda(SPY CHIEF) aliyepishana kauli na M7 na kuamua kukimbilia UK. Tanzania made them what and who they are now, powerful and intimidating. Timu hiyo ilifunzwa unprecedented guerrilla tactics kama tulizowafunza wenzetu wa kusini mwa Afrika na ndio maana PK akiwa bega kwa bega majasusi wenzetu na Fred Rwigyema ambaye aliuwawa kwenye battle waliweza kuingia hadi Kigali kwa kupitia Uganda Virunga Mountains baada ya kutumikia UPDF kama security chief wa M7.

A "cold war" highly fueled by media should be stopped and let the old memories flourish. If we had same belief or ideology, why should we differ now..???

0 comments:

Post a Comment