Plus 255 Studios

Plus 255 Studios
Home » » Diamond aendelea kuwaburuza kwa kura wasanii wa Afrika Tuzo za BET

Diamond aendelea kuwaburuza kwa kura wasanii wa Afrika Tuzo za BET

Msanii wa muziki wa Bongo Flavour kutoka Tanzania Diamond Platnumz.
Msanii wa muziki wa Bongo Flavour kutoka Tanzania Diamond Platnumz amekuwa akiongoza katika upigari kura wa kuwania tuzo za Muziki za Televisheni ya Watu Weusi Marekani (Black Entertainment Television-BET) katika kipengele cha Best International Act: Africa.
Tuzo hizo zitatolewa jijini Los Angeles, Marekani Juni 29.
Mpaka jioni hii Diamond alikuwa anaongoza kwa asilimia 75.79.

0 comments:

Post a Comment