
"Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema polisi wanahusika na milipuko katika mkutano wa CHADEMA na kuua watu watatu.
Mh Mbowe amesema ana ushahidi na picha za video za tukio hilo.
Mh Mbowe alisema hayo akihojiwa na ITV
Pia nape nae amekaririwa akisema chadema wenyewe ndio wamehusika na bomu hilo...
Sasa hapo sijui tumwamini nani ?
0 comments:
Post a Comment