Plus 255 Studios

Plus 255 Studios
Home » » Mh. Sugu apata ajali akielekea Arusha. Gari lake lagongana uso kwa uso na basi la abiria

Mh. Sugu apata ajali akielekea Arusha. Gari lake lagongana uso kwa uso na basi la abiria


Kwa mujibu wa the enquisitor blog na vyanzo vingine mbalimbali, mbunge wa Mbeya mjini, Mh. Joseph Mbilinyi “Sugu” amepata ajali ya barabarani wakati akielekea Arusha.
Ripoti hizo zinasema kuwa gari la Mh. Mbilinyi limegongana uso kwa uso na basi la abiria.
Ajali hiyo imetokea katika wilaya ya Hanang’, na taarifa hizo zinasema Sugu hajadhurika kwenye ajali hiyo.

0 comments:

Post a Comment