Plus 255 Studios

Plus 255 Studios
Home » » KWA KWELI!

KWA KWELI!

zuzu alikwenda na punda sokoni, alipofika akamfunga nje, alipotoka hakumkuta punda wak. akarudi zake nyumbani huku anacheka, mke wake akamuuliza, Unacheka nini?
 zuzu akamwambia punda amepotea, mkewe akamuuliza sasa ndio unacheka? zuzu akamwambia sasa ningepanda si tungepotea wote?

0 comments:

Post a Comment